• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ilala Municipal Council
Ilala Municipal Council

The United Republic of Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Manispaa ya Ilala

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Core Values
    • Council Strategies
    • Mawasiliano
      • Wakuu wa Idara na Vitengo
      • Watendaji wa Kata
      • Maafisa Tarafa
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Administration and Personnel
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Agriculture, irrigation and Coperative
      • Livestock and Fisheries Development
      • Land and Planning
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Solid Waste Management and Environmental Conservation
    • Units
      • Legal
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Information Technology and Communication
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Administration Area
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
      • Historical Buildings
      • Landmarks
      • Museums and Art Galleries
      • Seafront Development
      • Libraries and Cultural Centers
    • Kilimo
    • Business and Marketing
    • Housing Area
    • Bus Stand
  • Huduma
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
    • Huduma za Kifedha
    • Masoko
    • Usafirishaji
  • Madiwani
    • All Councilors
    • Council Committee
      • Town Planning and Environmental
      • Finance and Administration
      • Economical and Social Welfare
      • Kamati ya UKIMWI
      • Kamati ndogo za Halmashauri
    • Council Meetings
    • Mayor's Timetable
    • Orodha ya Mameya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyo kwenye Mpango
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria
    • By laws
    • Miongozo
    • Sera
    • Nyaraka
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Taratibu
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Bajeti ya Manispaa
    • Mpango Mkakati
    • Socio-Economic Profile
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
  • Wilaya
    • Majukumu ya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya

WANANCHI UKONGA KUNUFAIKA MRADI WA MAJI.

Posted on: September 23rd, 2020

Na Jafari S Samata

Wananchi wa kata ya ukonga wanatarajia kunufaika na mradi mkubwa wa maji safi unaosimamiwa na serikali chini ya mamlaka ya maji safi na maji taka DAWASA ili kuepukana na kero kubwa ya upatikanaji wa maji safi na salama iliyodumu kwa muda mrefu katika eneo hilo.

Hayo yamebainishwa na mkuu wa wilaya ya ilala Mh. Ng’wilabuzu Ludigija kupitia kwa muwakilishi wa DAWASA Ukonga walipokuwa kwenye ziara ya kikazi ya mkuu huyo wa wilaya katika jimbo la Ukonga Gongolamboto, alipokuwa akijibu hoja ya changamoto ya upatikani wa maji katika kata hiyo iliyoibuliwa na mkaazi wa maeneo hayo ndugu Paulo Mwaisigwa aliyehoji kuwa ni mpkaka lini wananchi wa ukonga watatakiwa kusubiri ilikupata huduma ya maji safi na salama.

Akijibu changamoto hiyo muwakilishi wa DAWASA Ukonga amesma “ni kweli kabisa kata ya ukonga ina changamoto kubwa ya maji na kuna mtaa hauna kabisa huduma ya maji safi kwa mfano mtaa wa Sababa, ila ili kukomesha tatizo hili kata ya ukonga itakuwa ni moja ya wanufaika wa mradi wa Maji wa Kisarawe Pugu, ambao bomba kuu la inchi kumi na sita linachimbiwa kutoka kisarawe hadi Madafu Gongolamboto ukitarajiwa kutiririsha maji ya ruvu, na si maji ya kisima ambapao mradi upo kwenye hatua za mwisho za utekelezaji wake na unatarajiwa kukamilika mwezi wa mwishoni mwa mwaka huu ili kuanza kuwanufaisha wananchi wa maeneo hayo”

Aidha muwakilishi huyo wa DAWASA ameongeza kuwa DAWASA ipo mbioni kuirudisha chini ya usimamizi wake miradi yote ya maji iliyokuwa ikimilikiwa na watu binafsi katika eneo hilo, kutokana na kuwa chanzo kikuu cha manyayaso ya raia wanapohitaji huduma hiyo kwa wauzwaji amabpo wengi wao wamekuwa wakitozwa bei za juu zaidi ya ile elekezi, na pia kumekuwpowepo na malalamiko ya wanao miliki miradi hiyo kunyanyaswa na maafisa wa DAWSA hususani mafundi kwa kuwakatia maji hovyo bila ya simile kwa kudai kuwa miradi ya idara haihojiwi.

Mkuu wa wilaya ya ilala Mh.Ng’wilabuzu Ludigija amekuwa katika ziara ya kikazi katika jimbo hilo kwa muda wa siku nzima ziara ambayo imelenga kuhimiza uwajibikaji bora wa viongozi wa kata na serikali za mitaa kwa wananchi wao, pamoja na kuchochea kasi ya ukamilishaji wa miradi mbali mbali inayoendelea katika jimbo hilo la ukonga ili kuhakikisha wanachi wa ukonga wananufaika na miradi hiyo ndani ya muda uliopangwa.

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA- MANISPAA YA ILALA ( M ) 2020 November 21, 2020
  • MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA- MANISPAA YA ILALA ( V ) 2020 November 21, 2020
  • Sheria ndogo ya kudhibiti Ombaomba inayopendekezwa December 18, 2020
  • MALIPO YA KODI ZA MANISPAA KWA KIPINDI CHA ROBO YA PILI December 10, 2018
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM AZUNGUZA NA WAZEE WA MKOA WA DAR ES SALAAM LEO KATIKA UKUMBI WA ARNATOGLOU MNAZI MMOJA.

    January 08, 2021
  • TAARIFA KWA UMMA

    January 07, 2021
  • Mkurugenzi Manispaa ya Ilala awaagiza Walimu Wakuu sekondari kukamilisha ujenzi wa madarasa

    January 07, 2021
  • Madiwani wa Ilala Waapishwa katika ukumbi wa Anatoglou

    December 10, 2020
  • Angalia Yote

Video

MANISPAA
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Majengo ya Kihistoria
  • Video za matukio mbalimbali
  • Mradi wa maboresho ya mtaa wa Samora
  • Huduma za kifedha
  • Huduma za Usafirishaji
  • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Ratiba ya Vikao vya Halmashauri
  • Maadili ya Msingi ya Halmashauri

Viunganishi vinavyoelekeana

  • Tovuti ya Ikulu
  • Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Idara Kuu ya Takwimu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    1 Mission/Sokoine

    Anuani ya Posta: 20950 Dar es Salaam, Tanzania

    Simu: 2128800

    Simu ya Kiganjani: +255713537815 / +255

    Barua Pepe: info@imc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Siri
    • Kanusho
    • MMM
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 IMC . All rights reserved.