• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ilala Municipal Council
Ilala Municipal Council

The United Republic of Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Manispaa ya Ilala

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Core Values
    • Council Strategies
    • Mawasiliano
      • Wakuu wa Idara na Vitengo
      • Watendaji wa Kata
      • Maafisa Tarafa
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Administration and Personnel
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Agriculture, irrigation and Coperative
      • Livestock and Fisheries Development
      • Land and Planning
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Solid Waste Management and Environmental Conservation
    • Units
      • Legal
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Information Technology and Communication
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Administration Area
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
      • Historical Buildings
      • Landmarks
      • Museums and Art Galleries
      • Seafront Development
      • Libraries and Cultural Centers
    • Kilimo
    • Business and Marketing
    • Housing Area
    • Bus Stand
  • Huduma
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
    • Huduma za Kifedha
    • Masoko
    • Usafirishaji
  • Madiwani
    • All Councilors
    • Council Committee
      • Town Planning and Environmental
      • Finance and Administration
      • Economical and Social Welfare
      • Kamati ya UKIMWI
      • Kamati ndogo za Halmashauri
    • Council Meetings
    • Mayor's Timetable
    • Orodha ya Mameya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyo kwenye Mpango
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria
    • By laws
    • Miongozo
    • Sera
    • Nyaraka
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Taratibu
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Bajeti ya Manispaa
    • Mpango Mkakati
    • Socio-Economic Profile
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
  • Wilaya
    • Majukumu ya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya

MKUU WA WILAYA YA ILALA AKAGUA MASOKO KATA YA LIWITI

Posted on: January 27th, 2021

Na, Waandishi wetu.

MKuu wa Wilaya Ya Ilala Mh.Ng’wilabuzu Ludigija ametoa maagizo kwa wafanyabiashara wote wa masoko ya Bombom, Minazi Mirefu na Kigilagila  ifikiapo tarehe 8 February 2021 wawe wameahamia kwenye masoko hayo mapya pia atawagawa  vizimba kwa kila mmoja wao. amesema hayo katika ziara yake ya kukagua ukamilikaji wa ujenzi wa masoko hayo akiambatana na Katibu tawala wa Wilaya ya Ilala na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala na Mkuu wa Masoko Manispaa ya Ilala leo tarehe 27 Januari 2021.

 “Ninawaomba muwe wavumilivu zoezi litafanyika kwa siku tano hadi kufikia tarehe 8 Februari 2021 nitawagawia vizimba kulingana na Orodha ya wafanyabiashara kupitia jina kwa jina na kila mmoja awe na kitambulisho cha Mpiga kura au Taifa.”

Pia, Mkuu wa Wilaya ameipongeza Serikali kwa miundombinu mizuri ambayo itawasaidia  wafanyabiashara kusafirisha mizigo yao kiurahisi.

 “Naipongeza Serikali ya awamu ya tano kwa miundombinu mizuri hivyo nawasihi mlinde miundombinu na kutunza mazingira ili kuepuka magonjwa ya milipuko”

Hata hivyo, Mh. Ludigija amewaasa wafanyabiashara waache tabia ya kupangisha fremu atakayebainika atachukuliwa hatua za kisheria.

Mwenyekiti wa Soko la Bombom Bw. Muhidini Waziri ameishukuru Serikali  pamoja na Manispaa ya Ilala kwa kuwajengea soko la kisasa kwani awali soko hilo lilikuwa linajaa maji kipindi cha mvua hivyo biashara inakuwa ngumu na kina mama walikuwa wanapata tabu kuingia sokoni.

Vilevile Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala Ndug. Jumanne Shauri amesema kujengwa kwa masoko hayo inapunguza adha kwa wananchi kusafiri sehemu za mbali kwenda kuchukua bidhaa.

Aidha, Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala alisema kutokana na kodi inayopatikana katika masoko hayo inasaidia uwepo wa huduma nyingine za kijamii.

“Sisi kama Manispaa ya Ilala tuna takribani masoko 36 hivyo kutokana na kodi inayotolewa na wafanyabiashara kwenye masoko hayo  inasaidia kujenga madarasa na vituo vya afya”

 

 

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA- MANISPAA YA ILALA ( M ) 2020 November 21, 2020
  • MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA- MANISPAA YA ILALA ( V ) 2020 November 21, 2020
  • Sheria ndogo ya kudhibiti Ombaomba inayopendekezwa December 18, 2020
  • MALIPO YA KODI ZA MANISPAA KWA KIPINDI CHA ROBO YA PILI December 10, 2018
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • Rais Magufuli aweka jiwe la msingi ujenzi wa soko la Kisutu

    February 25, 2021
  • Madiwani Ilala wapitisha taarifa ya utendaji kazi kwa kipindi cha Oktoba hadi Disemba, 2020

    February 17, 2021
  • Kamati ya Uchumi na Huduma za Jamii Manispaa ya Ilala yafanya ziara ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo

    February 01, 2021
  • MKUU WA WILAYA YA ILALA AKAGUA MASOKO KATA YA LIWITI

    January 27, 2021
  • Angalia Yote

Video

MANISPAA
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Majengo ya Kihistoria
  • Video za matukio mbalimbali
  • Mradi wa maboresho ya mtaa wa Samora
  • Huduma za kifedha
  • Huduma za Usafirishaji
  • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Ratiba ya Vikao vya Halmashauri
  • Maadili ya Msingi ya Halmashauri

Viunganishi vinavyoelekeana

  • Tovuti ya Ikulu
  • Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Idara Kuu ya Takwimu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    1 Mission/Sokoine

    Anuani ya Posta: 20950 Dar es Salaam, Tanzania

    Simu: 2128800

    Simu ya Kiganjani: +255713537815 / +255

    Barua Pepe: info@imc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Siri
    • Kanusho
    • MMM
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 IMC . All rights reserved.